Kim Jong Un anavyoonekana kwenye vikao rasmi
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amekuwa akiwavutia watu wengi duniani kuhusiana na mwonekano wake anapokuwa katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi na nje ya nchi hususan ni jinsi anavyokuwa akitabasamu. Hata hivyo, watu wengi wamekuwa wakijiuliza Kim Jong Un anaonekanaje anapokuwa kwenye vikao rasmi. Huu ndiyo mwonekano wa sura yake anapokuwa kwenye vikao rasmi.
What's Your Reaction?






